P-Square Aikubali Kwangaru ya Harmonize

Msanii mkubwa, mkongwe na mkali kutoka nchini Nigeria P-SQUARE,  amefunguka na kusema kuwa katika nyimbo bora anazozikubali sana kutoka nchini Tanzania ni ule wa kwangaru kutoka hapa nchini wa Harmonize na Diamond.

Akiongea katika moja ya mahojiano yake,p-square alisema  kuwa wimbo huo mabao ulipata headline zaka katika vyombo vingi vyahabari umekuwa moja ya nyimbo zake anazozikubali sana kutoka nchini.

Wimbo wa Kwangaru, ni moja ya nyimbo kutoka lebo ya wcb ambao umefanya vizuri sana kwa mwaka huu kwa vyobo vya ndani na nje ya nchi.

Harmonize Amshukuru Diamond Ku-boost Wimbo wa Kwangaru

Msanii wa bongo fleva Harmonize amefunguka na kusema kuwa amemshukuru sana Diamond ambae ni boss wake kuifanya nyimbo yake ya kwangaru kufikia hatua kubwa ya mafanikio iliyopo sasa.

Maneno hayo ya manii harmonize yanakuja baada ya kutimiza views   milioni 10 katika mtandao wa you tube huku akiwa ndio msanii wa kwanza kwa mwezi huu na kuongozwa nyimbo zote zilizoingia you tube akiwa ni namba moja.

pia ninaamini kabisa kuwa uwepo wa diamond katika muziki wangu umefanukisha hilo kwa sababu ninajua muziki wangu kuna sehemu haujafikia lakini kupitia yeye nmeweza kufika hapo.kwaio nina mshukuru sana ukiachana naverses ambazo amefanya lakini images zake katika muziki huo pia zimenisaidia.

Ikiwa huu ni wimbo wa pili kwa Diamond kutoa na Harmonize na zote zimekuwa zikifanya vizuri, harmonize aachi kusema kuwa mafanikio hayo ni kutokana na juhudi kubwa za bosiwao huyo anazoziweka katka kazi bila kujali ukubwa alionao.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.