“Your only mistake was to defend yourself from a predator” Lulu Micheal’s mentor speaks after actress is sentenced to 2 years in prison 

Many have had different opinions after Lulu Micheal was sentenced to jail for man slaughter. While others claim that she needed to be punished for the death of Steve Kanumba, most believe that the lady was innocent.

It has however not been an easy journey as the actress asked her team of lawyers not to challenge the decision made by the court. The actress is now serving a 2 year jail sentence and will be out in 2019.

Also read: “Kesi inaninyima usingizi jamani” Wema Sepetu expresses fear over her drug case following Lulu’s sentencing

Her mother was pictured hear broken after her arrest and now those who worked closely with her have also come out to speak. One lady by the name of Kemmy has shared a post defending Lulu. According to her, she believes that the actress was only trying to defend herself when Kanumba accidentally fell hurting his head.

In a lengthy post Kemmy says that even after discovering Lulu at the age of 9 years, she was sure the lady had no bad motives. She wrote saying;

“Uchungu wa mwana aujuae mzazi hata kama sio kukubeba tumboni.. Lakini baada ya Dr. Cheni kugundua kipaji chako alikuleta kaole ukiwa na miaka saba hivi.. Naifahamu kwa sehemu safari yako ya sanaa. Mungu anakupenda hayo unayopitia ni hatua katika safari ya maisha.. Maisha hayana uzoefu na hakuna anayejua kesho ikoje..”

The lady goes on to add those who caused her (Lulu) such pain will one day pay for their mistakes. Kenny adds that Lulu’s actions were only aimed at defending herself from a drunk man who could have probably hurt her badly.

“Wale waliokutesa na kuumiza moyo wako kwa tamaa zao ndio waliokupa wakati mgumu, unaopitia.. Lakini Mungu akukumbuke akufutie hatia na damu ambayo hukukusudia kumwaga, kama mtoto mikononi mwa mtu mzima aliyelewa, amejaa hasira, na ghadhabu na kipigo mimi kama mama najua ulikuwa katika hali ya kujitetea na kuokoa uhai wako ndio hayo yakatokea.”

She concludes saying

“Lakini usiogope kabisa Mungu ni mwenye huruma, si mwepesi wa hasira Isaya 1..18 dhambi nyekundu kama damu huzifanya nyeupe kama theruji. Mungu akukumbuke, akusamehe upate nafasi ya kuwasamehe wote waliokuumiza na kujisamehe mwenyewe ukitoka kwenye hilo darasa ukawe na mwanzo mpya.. Mungu alijua hiyo hukumu.. Usione kama adhabu bali darasa. Nakuombea uhai ili ukitoka uanze maisha mapya yenye ushindi, hapo hukushindwa bali utakuwa umeshinda zaidi ya kushinda. Mungu akawe ngao yako na msaada tele wakati huu Mgumu. NAKUPENDA BINTI YANGU, MUNGU AKULINDE”

Kemmy Amtia Moyo Lulu Michael, Awapa Pole Wazazi.

Mwana mama mkongwe kutoka katika tasnia ya filamu nchini Kemmy amefunguka na kuongelea mchango alikuwnao Dr.Cheni katika kumtoa Lulu katika tasnia ya filamu lakini pia ameonyesha kuguswa kwake na matatizo aliyoyapata na kuwapa pole watu wa karibu na Lulu.Mama huyo ameonysha kuguswa kwake kutokana na kile kilichompata Lulu cha kufungwa kifungo cha miaka miwili jeal baada ya kukutwa na hatia ya kuua bila kukusudia.

Kemmy anasema kuwa anatambua kuwa Dr.Cheni ndie aligundua kipaji chake na kwamba kwa mara ya kwanza  alipokuwa na miaka saba na anaijua safari yake ya maisha hasa katika sanaa.Kemyy anasema kuwa wao ni watu wa kwanza kumjua na kujua kipaji cha lulu na kwamba hata anayopitia ni mapito katika maisha.

Kemmy anamwambia Lulu kuwa  mateso anayoyapata sasa ni kwa sababu za tamaa za watu wachache waliomuona na kutaka kumuangamiza .

Uchungu wa mwana aujuaye mzazi,hata kama sio kubeba tumboni,lakini baada ya dr.cheni kugundua  alikuleta kaole ukiwa kama na miaka saba,naifahamu kwa sehemu safari yako, Mungu anakupenda na ndio maana anataka upitie haya.Maisha hayana uzoefu na hakuna anaejua safari yake.

Wale waliokutesa na kukuumiza kwa tamaa zao ,ndio waliokupa wakati mgumu unaopitia sasa lakini Mungu akukumbuke na kukufutia hatia ya damu ambayo haukukusudia kuimwaga.kama mtoto mikononi mwa mikono ya mtu mzima aliyelewa,amejaa hasira na ghadhabu  na kipigo na kama mama ninajua kitu gani ulikuwa unapitia, ulikuwa katika hali ya kujitetea na uhai wako  na ndio hayo yote yakatokea.

Lakini usiogope na Mungu ni mwaminifu sana, na huruma nyingi si mwepesi wa hasira Isaya 1..18,dhambi nyekundu kama damu uzifanya nyeupe kama theluji,Mungu akukumbuke na akusamehe ili upate nafasi  ya kuwasamehe pia wale waliokuumiza, na ukitoka kwenye hilo darasa ukawe na mwanzo mpya.Nakuombea maisha marefu ili unapotoka ukaanze maisha mapya yenye ushindi , hapo utakuwa hukushindwa bali umeshinda  zaidi ya kushinda, Mungu akawe nguzo yako na msaada tela kwa wakati huu mgumu.NAKUPENDA BINTI YANGU,MUNGU AKULINDE.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.