Millard Ayo Ananizidi Hata Mimi Mshahara :- Kusaga

Mkurugenzi na bosi wa Clouds Media Group Joseph Kusaga amefunguka na kusema kuwa katika watu anaojivunia nao ni milaard ayo ambae alianza kufanya kazi Clouds Medai Group na mpaka sasa amekuwa akifanya kazi kubwa zaidi.

Kusaga anasema kuwa Milard alianza kufanya kazi na kulipwa mshahara na wao lakini kwa sasa mshahara wa Milaard kwa sasa  ni mkbwa kuliko hata wa kwake lakini kwake hiyo ni sifa kwa sababu mwisho wa siku wanataka kuwafanya vijana kuwa imara na kile wanachokifanya.

Akiongea hayo katika maswali aliyokuwa akiulizwa siku ya jana ambapo clouds media ilikuwa itimiza miaka 19 tangu kuanziswa kwake, Joseph kusaga anasema hawezi kumuonea wivu wala kukataa mafanikio ya milaard ayo kwa sababu amekuwa moja ya vijana waliojituma sana kufika walipo.

Hata siku za nyuma Milard alipowahi kuulizwa kuhsu kufungua radio yake kwa sababu kwa sasa anaweza kusimama mwenyewe alisema kuwa bado ana deni kuwa sana ndani ya clouds media hawezi kuacha kazi hapo.

Milard Ayo Ataoa Sababu ya Kumficha Mpenzi Wake

Mwana habari Millard Ayo amefunguka na kusema  sababu kubwa inayomfanya asiwe anamuweka mpenzi wake katika mitandao ni kutokana na mazoea aliyojiwekea mpenzi wake mwenyewe kutotaka kuwekwa katika mitandao hiyo.

Akiongea katika kipindi cha clouds 360 kutoka clouds media , Milard Ayo anasema “ninae na wala simpost kwa sababu yeye mwenyewe hapendi kuwekwa katika mitandao ya kijamii, hata yeye mwenyewe haposti sura yake popote.”

Hata hivyo akiwa kama moja ya vijana walionza jitihada za kujituma na kujikwamua akiwa na umri mdogo Milard Ayo amekuwa moja ya vijana wenye ushawishi mkubwa na kuwa mfano kwa vijana wengi sana anasema kuwa kwa sasa ndoto yake kubwa ni kufungua radio yake na ni swala ambalo kwa sasa naona hatolifanya kwa sasa kuna deni kubwa la kuifanyia mazuri clouds iliyomkuza kabla ya kanza yake.

watu wamekuwa wakiniambia nifungue radio na tv yangu lakini mimi bado ninaona kuwa nina deni kubwa sana clouds bado wananidai, mimi siidai.Clouds naona wamenifanyia mengi sana, sioni kama ninaweza kuwalipa kwaio nikifanya kazi hapa najisikiavizuri zaidi.

 

 

Ommy Dimpoz reveals how his life was slowly fading away after being poisoned

For a few weeks now, Tanzanian superstar Ommy Dimpoz had been laying low due to an unknown medical condition.

According to a new interview done by Millard Ayo who flew to South Africa to visit Ommy; we now learn that the 30 year old almost died after doctors confirmed he was poisoned.

This comes a few days after word had it that Ommy Dimpoz was admitted to ICU. However, Millard Ayo shed some light to Ommy’s condition after holding a detailed interview that has left many talking.

Apparently it al started when Ommy realized that the food he was swallowing was not reaching his stomach. The singer says that he would feel it linger in his esophagus and after seeking medical help in Tanzania; he was told it’s cancer.

Ommy Dimpoz with Millard Ayo

Ommy seeks medical help in Kenya

This not being enough governor Hassan Joho linked him with his personal doctors Mombasa who confirmed that the singer was slowly fading away due to a poison he ingested. Due to lack of specific medical machines in Kenya, the young singer was advised to fly to South Africa where the doctors also confirmed that he had been poisoned.

Speaking to Millard, it’s clear to see the change in his body and mostly his voice. This was after the major surgery which was done to help save his life after his condition got worse. Below is a full interview of the singer courtesy of Ayo TV.

Mrembo Wa Miaka 19 Amtongoza Millard Ayo

Mwanadada mmoja wa miaka 19 inaesemekana kuwa ni mtangazji wa kituo kimoja cha radio jijini Dar, amejitokeza na kuamua kufunguka kuelezea hisia zake kwa mtangazji mkongwe na maarufu nje na ndani ya Tanzania Milard Ayo katika ukurasa wake wa Instagram,

Mwanadada huyo aliejulikana kwa jina la Susan Labia amekiri kuumiza kwa muda mrefu na hisia za kimapenzi kwa milaard ayo hivyo ameshindwa kuvumilia kwa sababu anaona anazidi kuumia sana wakati ana uwezo wa kufikisha meseji hiyo kwa mwanaume anaempenda.

Susy anasema kuwa  uamuzi wake unaweza kumkwaza milaard ayo kwa sababu hajui kama yuko katika mahusiano lakini aliona ni bora aongee ukweli wake ili ata kama atakufa basi asife na kitu moyoni mwake. na anajua kuwa inawezekana hata millard ayo asiione meseji yake lakini atambue kuwa kuna mwanamke anampenda sana hata kama hatopata bahati ya kuwa nae.

Susan anaendelea kusema kuwa pamoja na kwamba hakusoma kufika mbali kwa sababu hakusomeshwa lakini ana akili kubwa ya maisha kwaoi anamuomba Millard asimdharau kwa hilo  kwa sababu anamuona milaard ni mtu mwenye huruma na ni mstaarabu anafaa sana kuwa   mume wake.

Mrembo Susan na kile alichokiandika katika ukurasa wake wa instagram kuhusu hisia zake kwa Milaard ayo.

Inaweza kuwa ni kitu cha kustaajabisha kidogo kwa mwanamke kufunguka na kueleza hisia zake kwa mwanume kwa sababu imeshazoeleka kuwa mwanaume ndio anakuwa na fursa ya kumfata mwanamke lakini hii imekuwa tofauti kwa Susan ambae aliona akinyamaza kimya mwanaume anaempenda hatopata na kujua kile anachojisia yeye.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.