Diamond Platnumz dad caught on camera borrowing bus fare shortly after his daughter’s wedding

Mzee Abdul Naseeb has given many a reason to talk after a video showing him borrow money from Esma emerged on social media a few hours ago.

Word making rounds on social media is that the star’s dad apparently was invited to his daughter’s big day but did not have any money for his transport.

Mzee Abdul with Esma

Seeing that the ceremony was finally over and needed a way to get back to his place, Mzee Abdul is said to have opted to borrow Esma since his son was busy with the wedding guests.

Mzee Abdul struggles

This comes a few months weeks after the same fella was caught on camera being blocked from using an entrance to his son’s dining room.

Mzee Abdul with Esma

From the video one could see how fast Diamond Platnumz bodyguards turned the old man after he tried to join his son Diamond Platnumz and Tanasha who were dining at their home during Naseeb Abdul’s 40 days celebrations.

Mzee Abdul Aomba Msaada wa Mtaji kwa Diamond.

Baba mzazi wa msanii Diamond Platinumz, Nzee Abdul ametuma salamu kwa mtoto wake na kuomba amsaidie kumpatia mtaji wa kuweza kufunfua duka kubwa ambalo litakuwa likimuingizia kipato ili aweze kumudu maisha yake.

Akitaja kuwa hata kama itakuwa duka la mitumba kwake itakuwa sawa kwa sababu hiyo ni moja ya biashara aliyoizoea tangu ujanani , lakini pia akiwa na uwezo basi anaweza kumfungulia duka kubwa lolote ili aweze kufanya kazi akiwa amepumzika bila mikiki mikiki yoyote.

Akiongea na waandishi wa habari, baba huyo amasema kuwa Diamond asifikirie kumnunuli gari kwa sababu gari hana uweoz nalo hata kidogo na ni kwa sababu gari inahitaji sana pesa kwa ajili ya kununua spare pale zinapoharibika lakini akimpa mtaji wa kufanya kitu gari atakuja kununua hata baadae akishauza mazao yake shambani.

Baba Diamond anasema kuw asimpe gari kwa sababu atakaposhindwa kulihudumia , liramshinda na ataliwka uani lakii mwisho wa siku ataliuza kwa bei ndogo na ya hasara.

Baba Diamond Amsamehe Mwanae Queen Darleen

BABA mzazi wa msanii wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’, Abdul Juma amedaiwa kulainishwa na zawadi za Sikukuu ya Idd na kumsamehe binti yake,Mwajuma Abdul ‘Queen Darleen’ ambaye walikuwa hawaivi.

Juni 8, mwaka huu, Queen alitupia posti kwenye akaunti yake ya Instagram iliyoashiria kuwathamini wazazi kwa kuwanunulia zawadi za sikukuu ya Idd, huku akionesha hofu kwa yeye kupokelewa zawadi zake na mzee Abdul kutokana na ugomvi waliokuwa nao.

Allah sijui kama mzee Abdul atakubali zawadi zangu, Ramadhan kareem,” ilisomeka posti hiyo. Mtoa ubuyu mmoja ambaye yupo jirani na mzee Abdul alieleza kuwa, mara baada ya mzee huyo kuoneshwa posti hiyo aliamua kumsamehe fasta.

 

Ijumaa Wikienda lilimtafuta mzee Abdul na kumuuliza kama kweli amemsamehe bintiye huyo, akafunguka: “Yule mimi ni binti yangu, japo hapo awali tulikorofishana mpaka vyombo vya habari vikajua, lakini kama ataamua kuja kuomba msamaha nitampokea na mtoto akishaomba msamaha huwezi ukamkatalia kama kweli ataniletea zawadi nitazipokea na nitazitumia,” alisema mzee Abdul.

Queen aliingia kwenye bifu kali na mzee Abdul baada ya mrembo huyo kuhojiwa na televisheni moja ya mtandaoni kisha kusema, anamtambua Diamond kama baba yake mzazi na si mzee Abdul. Baba Diamond aliposikia hayo, alimtaka mrembo huyo asisogelee kaburi lake endapo atatangulia yeye mbele za haki..

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.