“Mke Wangu Ndio Alipambana Sana na Majambazi”- Mzee Yusuf

Aliyekuwa Msanii mkongwe wa muziki wa Taarab nchini Mzee Yusuf ameibuka na kuelekeza mkasa uliompata yeye na mke Wake Leyla Rashid ambao walivamiwa na majambazi nyumbani kwao mapema Wiki hii.

Gazeti la Amani linaripoti kuwa Tukio hilo lilitokea usiku wa kuamkia Jumatatu nyumbani kwake Chanika ambapo majambazi hao walivamia na kufanya umafia ikiwemo kumjeruhi Leila sehemu mbalimbali za mwili wake..

Kwenye mahojiano na Gazeti hilo Mzee Yusuf alikiri kuvamiwa na mkewe ndiye aliyejeruhiwa sehemu mbalimbali za mwili kutokana na ujasiri aliokuwa nao wa kupiga na majambazi:

Ni kweli nimekumbwa na majanga ya kuvamiwa na majambazi na hivi tunavyoongea (Jumatatu iliyopita) niko hospitali hapa Chanika nahangaika na hali ya mke wangu ambaye ameumia.

Unajua baada ya kuvamiwa mke wangu aliwaonesha upinzani mkali kwa kupambana nao hivyo walivyomuona mbishi walimpiga sana nondo za kichwani, mbavuni na mapajani wakati huo mimi nikipambana na jambazi mmoja kule nje ambaye naye alikuwa na bastola lakini niligundua ni zile zinazotumika kupigia baruti“.

Baada ya tukio hilo Leila alipelekwa hospitali ambako alilazwa Baada ya majeraha aliyopata katika tukio hilo Lakini Mpaka hivi sasa ameshatoka hospitali na anaendelea vizuri.

Mzee Yusuf’s wife given her final send off after dying while giving birth (Photos)

Mzee Yusuf might have quit doing Taarab music but he remains the King of these Swahili songs that are loved by most women residing in Mombasa and Tanzania.

He is not just an artist but one with lyrics that come off in a poetic way. Anyway, the singer and his family are currently mourning the death of his second wife, Chiku Khamis Tumbo who passed on this weekend while giving birth.

Mzee Yusuf’s late wife

From the stories making rounds on social media the late Chiku Khamis was rushed to Amani Hospital in Dar es Salaam Tanzania where she was to give birth but after struggling during labor the lady gave up, something that cost her life and that of her child.

It is quite unfortunate for the family as they have to deal with this during the holy month of Ramadan. Below are a few photos courtesy of Globalpublishers.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.