Nandy on why she can’t stand any of her husband’s friends

Singer Nandy recently opened up about her pregnancy journey while on an interview with Millard Ayo and boy it hasn’t been easy for the first time mum.

Singer Nandy

According to Nandy she has had to deal with mood swings, change of appetite and above all – her dislike towards all of her husbands friends. The lass says that for some reason – she now can’t stand the same friends her husband used to hang out with before her pregnancy.

Nandy went on to give an example of how she’d tell most of them off and at some point texts them not to have her man out late. Uhhh not fancy but then again it’s the pregnancy talking right?

FullSizeRender

Idris Sultan confirms Nandy’s change of attitude

If you think Nandy is joking – then maybe you should have a look at Idris Sultan’s posts. The actor has been complaining about not getting an invite to his best friend’s wedding and now says Nandy blocked him from communicating with other Billnass.

Although I don’t think his case is that serious…what we know is that the comedian was no where to be seen during Nandy’s wedding; but again – we have reason to believe he relocated and is currently living abroad.

Singer Nandy hints about possible breakup with fiancé weeks after fancy engagement party

Rumor has it that Nandy and fiance, Billnass May not be in good terms, following a post she recently shared on her page talking about the pain that comes loving someone way too much.

Nandy’s ring

From how she put her thoughts together, it’s easy to tell that Nandy is going through a tough time; or may be speaking about a person  whose suffering in love – but as for now fans are convinced that all is not well between her and Billnass.

Billnass proposes to Nandy Live

The alarming post implying there’s trouble in paradise wrote;

Tatizo tunapenda kupitiliza, tunafanya kila kitu ili tu mtu wako afurahi, ndio mana inakua ngumu kuzuia haya maumivu, we do alot and expect alot. Kwanini lakini tunashindwa kuControl hisia zetu, mbona tunaona viashiria vyote lakini kwanini tunashindwa kukubali matokeo, Kweli haya ni mapenzi, hili ni fumbo.

Fans react

This indeed comes a big surprise especially since we just saw the two hold a fancy engagement that saw Billnass and his people pay bride price about a month ago.

And just when it’s wedding is a few weeks ago, Nandy says;

This is the game, lazima mmoja tu atashinda acha nikapambane huko kwingine. Kubembeleza huku basi, Maumivu tena Basi #MapenziShikamooSirudiiTena

Having posted this, the likes of Wema Sepetu among other celebrities quickly rushed to leave comments; pleading with the singer not to call off her wedding first – before trying to resolve their issues.

She wrote;

Nandy Nandy…usituvuruge tunajiandaa na shughuli yenu…please…acha tumalize kwanza la Tivu akee. By the time linaisha na imani wewe na mwenzako mtakuwa mshayamaliza.

Nandy’s boyfriend beaten black and blue by unknown persons (Photo)

Nandy’s boyfriend Billnass is currently nursing wounds after he was terribly beaten by unknown people as revealed on his social media pages.

Billnass with Nandy

The Tanzanian artist went on to share a selfie showing the bruises he suffered after the attack leaving him with patches on his face.

According to Billnas, the person that attacked him and the one that gave out the orders are both fools! He goes on to add that such people need education to understand how others live in this cold world.

Billnass
Billnass

 

Billnass calls out his attacker!

In a long post shared on his page, it’s evident to see that Billnass is quite bitter about this incident but all in all he couldn’t waste an opportunity to school ‘fools’ who basically have nothing going on in their heads.

Billnass

Billnass went on to write saying;

Mjinga ni Mtu Maskini wa Fikra ambae Hajui Kama Tatizo lake ni Kubwa Kuliko Umaskini ama Ufukara wa Kipato !! Mjinga ni Mtu ambae Hawezi Juwa thamani ya Umri , Utu hata Jinsia Yake…anaweza kiuka Mipaka Ya Utu na Yuko radhi kutumikishwa, kuwa Mpambe, Kuadi , Hasidi na Mmbea Hata Kama ni Mwanaume , Mshahara wa Mjinga wewe Msifie, Mpe Mshahara wa Kumuweka Karibu kama Kivuli !! Tusiwatenge watu wajinga, Uzuri Sikuhizi wajinga pia wanaoa na wanaweza kuoana na Wajinga Wenzao !! Heri ya Mwaka 2020 kwa Wajinga na Wapambe Wote Duniani !! Eee Mungu niongoze nisiwatenge ndugu na Marafiki zangu Wajinga maana Hakuna Jeraha kubwa kama Kuzungukwa na Watu Wajinga ambao hawawezi kuuficha Ujinga wao

Bill Nas: Sio Lazima Kila Mtu Ajue Mahusiano Yangu

Mwanamuziki wa Bongo fleva anayetamba kwa hivi sasa na ngoma yake ya ‘Tagi bovu’ amefunguka na kusema yeye sio msururu sana lakini anaona kuna baadhi ya vitu ambavyo anaona hamna umuhimu kuvianika na kila mtu ajue.

Bill Nas ametengeneza sana headlines kwenye mitandao ya kijamii wiki mbili tatu tangu atoke ngoma yake lakini kama kawaida kilichokuwa kinamfanya aongelewe sana ni mahusiano yake ya kimapenzi.

Kuna tetesi zilizosambaa toka mwaka jana na kudai kuwa Bill Nas ana Mahusiano ya kimapenzi na msanii mwenzake kutoka THT Nandy habari ambazo siku zote wawili hao wamezikataa na kusema wao ni marafiki.

Kwenye Interview aliyofanya na Dizzim Online, Bill Nas amekataa taarifa zilizodai kuwa yeye ni msiri sana hasa linapokuja suala la mahusiano yake na mpenzi wake ambapo Bill Nas amekiri hapendelei kuanika Mahusiano Yake hadharani:

Kusema ukweli mimi sio kwamba ni msiri sana ila hivi ndivyo nilivyo sio lazima kila kitu kila mtu ajue ama wafahamu kuna vitu watu wanapaswa kama binadamu waheshimu privacy yako na kuna vitu unatakiwa ubaki navyo mwenyewe au watu wako wa karibu”.

Bill Nas amekiri kuwa ana mpenzi wake lakini hayupo tayari kumuweka wazi kwa sasa na hizi skendo za yeye kutoka na wasanii wenzake zinakuwa kama zinamuharibia mapenzi yake.

 

Nandy Amkana Dogo Janja na Kumtamani Billinass

Msanii wa kike anaefanya vizuri katika tasnia ya muziki kwa sasa na wimbo wake wa kivuruge, Nandy  amefunguka na kusema kuwa hana mahusiano na msanii Dogo janja kama vile watu ambavyo wamekuwa wakisema katika mitandao ya kijamii.

Kuna baadhi ya watu walikuwa wakisema kuwa kisa cha Nandy kuimba wimbo wa kivuruge ilikuwa ni meseji iliyotumwa kwa msanii Dogo janja baada ya kutemana nae na kwenda kutembea hadi kumuoa Irene uUwoya lakini Nandy amekanusha maneno hayo na kusema kuwa yeye na Dogo janja ni marafiki tu na hawana bifu lolote na wala hana uhusiano nae wowote hivyo hawezi kumuimbia wimbo huo.

Nandy amesema kuwa hajawahi kuwa na mahusiano na Dogo janja na wala hajawahi kumuwazia dogo janja labda wangemwambia kuhusu Billnasss kwa sababu ni msanii anaempenda sana na anatamani sana kuwa nae endapo msanii huyo atamfata na kuelezea hisia zake.

sijawahi kuwa na uhusiano na Dogo janja,ila ni mshikaji wangu tu na sijawahi kumfikiria  labda mngeniambi akuhusu Bilnass kwa sabau ni msanii wa kiume ninaempenda  na ninatamani siku moja awe wangu endapo atanifata lakini.-Alifunguka msanii Nandy.

miezi kadha nyumba nandy na billnass walisemekana kuwa katika uhusiano wa kimapenzi na kusemekana kuwa walikuwa wakionwa sehemu mbalimbali, hata hivyo kwa upande wa billnass alishawahi kukuri kuwa Nandy ni msanii wa kike pekee ambae anaweza kuwaza kumuoa na anaeona kuwa ana sifa za kuwa mke.

Billnass na Nandy Wabanwa Pabaya

Wasanii wa Bongo fleva Nandy na Billnass wamejikuta katika wakati mgumu baada ya kubanwa na maswali kutokana na uhusiano wao.

Siku za hivi karibuni kumekuwa na tetesi nying sana zilizotapakaa zinazodai ya kuwa mrembo Nandy au mwenyewe anavyopenda kujiita African Princess kuwa na uhusiano wa kimapenzi na mwanamuziki anayefanya vizuri kwenye gemu na wimbo wake wa sina jambo. Tangu tetesi hizo zimeanza kutapakaa wawili hao kila mmoja kwa wakati wake wamejitahidi kuficha au kakataa kabisa kuhusiana kimapenzi na kudai kuwa wana urafiki tu wa kawaida ambao unaweza ukauita wa kikazi.

Jana kupitia stesheni ya Clouds Fm katika kipindi cha XXL kwenye segment ya U heard, Soudy Brown aliwavutia waya Nandy na Billnass kwa kutaka kuwahoji kwa kile kilichodaiwa kuna kiwanja walionekana pamoja ingawa kila mmoja aliweka picha kwenye mtandao wa kijamii akiwa peke yake (yaani hawakupiga wote picha) lakini picha hizo ziliwaonesha wakiwa katika eneo moja wakila bata. Soudy alivyomuuliza Billnass alijibu hivi;

Mimi sina ukaribu na Nandy wala sijawahi kutembea naye yaani kwa ufupi hayupo hata listi ya watu niliowahi kutoka nao. Sijawahi hata kumfikiria kutembea naye yaani sijui kitu chochote kuhusu Nandy yaani ukiniuliza kuhusu huyo mtu unakuwa unapotea’.

Baada ya kumuuliza Billnass na yeye kukana na kumruka futi 100 Nandy ikabidi tu ampigie na Nandy ili apate ukwdeli wake;

Unajua watu wanasema hivyo kwa sababu tulipiga picha kiwanja kimoja lakini sio ukweli mi nilienda na dada yangu na rafiki angu anaitwa Vai sina sababu ya kuficha kama ningekutana naye siningesema sina haja ya kuficha”.

Kila mmoja amesisitiza hatoki na mwenziye na kila mmja ni bachela lakini kama wanaendana fulani enhee??

Lakini anyway wazungu wanasema time will tell yaani muda ndo utasema alafu isitoshe mapenzi hayafichiki.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.