“Zari warned me to stay away from her man!” Tanzanian model speaks

One Nelly Kamwelu a Tanzanian model and miss Universe 2011 recently revealed how Zari reached out asking her to stay away from Diamond Platnumz.

This is apparently after a video of Nelly kissing Baba Tiffah surfaced online raising many questions. However the model now says that she was just friends with Diamond Platnumz from way back!

Miss Universe 2011, Nelly Kamwelu

Speaking during a recent interview, Nelly opened up for the first time saying;

Actually that time Nasseb (Diamond) ni mtu wangu and I knew him long time ago tangu nyimbo yake ya nataka kulewa and he is like a brother and me and him had nothing between us. Hata ile kuhug na kiss it was not a big deal na watu wengi wanajua hic ho kitu, but what made it complicated ni kwamba Zari kaniDM, but nukamwambia kama ningemkata ningekuwa nay eye long time maana tulikuwa very close people na kama kungekuwa kuna kitu basi naseeb hangeweka ile video kwa page yake if there was something between. Nakumbuka aliniDM saying what I was doing was not good jumping on other people’s Men, but nikamjibu kuwa there is nothing going on between us and also you should not be worried about me, but kuna mtu amabaye namjua who you should be worried about.

Nelly Kamwelu

Insecurities

According to the lady, Zari was just acting out of insecurities and if indeed she wanted to ruin the relationship; Nelly says she could have told Zari who to worry about since she was aware of Diamond Platnumz side chick back then.

I think I ilikuwa Rakky alitu introduce kutikwa kwenye his Photo studio, akisema I help him get models and na ile concept ya nyimbo yake ya Nataka Kulewa, so from that time ndo tukaanza kuwa friends.

Zari Hassan serving body goals in blue bikini

She then went on to add that;

Baada ya Zari kunitext , I reached out to Diamond telling him I’m not comfortable your woman ananitext and we are just friends and he promised to talk to her ili na yeye to understand our friendship. So from that it also left me wondering kwamba kila mtu ambaye watasema anatoka na Naseeb she will go around DMing them, inaonyesha kuwa kidogo yuko insecure to do that.

Nelly Kamwelu Yupo Njiani Kufunga Ndoa

Mlimbwenda ambaye amewahi kushikilia mataji mbali mbali ya urembo hapa nchini ikiwemo Miss Universe Tanzania, Nelly Kamwelu amesema yupo njiani kuolewa.

Nelly amefunguka na kuweka wazi kuwa mwanaume anayetarajia kumuoa hivi karibuni sio mtu maarufu lakini ni mwanaume ambaye amekuwa naye kwenye mahusiano kwa muda mrefu sana.

Kwenye mahojiano aliyofanya na Ijumaa Wikienda, Nelly alisema kuwa anamshukuru Mungu ameweza kumpata mtu ambaye anam­penda na anaahidi kuwa mke bora baada ya tukio hilo la heri kukamilika.

Unajua kila jambo na wakati wake, yamesemwa mengi juu yangu lakini nashukuru Mungu siku si nyingi nitaandi­ka historia katika mai­sha yangu, kwa lugha nyingine ni kwamba naolewa ‘soon’ kwani nimeshachumbiwa”.

 

Nelly Atwaa Taji la Miss Uaresia Africa 2018 Nchini Uturuki

Mwanadada anaewakilisha vyema Tanzania katika maswala mbalimbali ya urembo ingawa jina lake mara nyingi limekuwa likizungumzwa kwa uchache na watu chinichini ameibuka tena kidedea nchini utruki  baada ya kuwaaa taji la miss Uaresia Afrika baada ya kuwabwaga waafrika wengine .

Nelly ameshika namba mbili katika mashindano hayo huku akitwaa taji ya Miss beauty katika mashindano hayo.

Ukiacha Hilo, Nelly anayetajwa kuwa na miaka 25 aliwahi kuwa Miss Ilala Namba Tatu mwaka 2008, baadaye akashinda Miss universe Tanzania 2011 na kwenda nchini Brazil kushindana, mwaka huo huo akaiwakilisha Tanzania katika Miss Earth nchini Philippines, mwaka huo huo 2011 tena akaiwakilisha Tanzania katika Miss International nchini China. .
Mwaka huo huo 2011 Nelly alishinda Miss Southern Africa International ambapo katika mashindano ya kimataifa ya Miss Tourism Queen international 2011 nchini China alishika nafasi ya 5.

 

Nelly Kamwelu Atoa Povu Zito Baada ya Kudaiwa Hana Miaka 25

Mlimbwende Nelly Kamwelu aliyekuwa Miss Universe Tanzania mwaka 2011 amemwaga povu zito baada ya taarifa kuenea anadanganya kuhusu umri wake.

Tarehe 7 /02 ilikuwa siku sherehe ya kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Nelly na kupitia ukurasa wake wa Instagram aliposti picha yenye na 25 kuashiria kuwa amefikisha miaka 25.

Taarifa hiyo kuwa amefikisha miaka 25 iliwashangaza wengi kwa sababu kwenye wikipedia ameandikwa ana miaka 28 na kwa kuwa alianza mambo ya ulimbwende zamani ikaonekana kama ana umri mkubwa zaidi.

Baada ya tetesi hizo kuendelea tangia jana Nelly kupitia ukurasa wake wa Instagram alitoa povu kali kwa yoyote aliyemsema anadanganya umri.

Ha ha ha sometimes mnachekesha mkiwa mnatafuta news kwa kuforce, mngekuwa mnanifuatilia tangu enzi za Miss Ilala, basi ungejua nilikuwa na miaka 15 mwaka 2008 lakini nilidanganya nilikuwa na miaka 18, na ndio maana sikuingia top 5 Miss Tanzania, na ndio maaana Kwenye Wikipedia wameandika 1991 ungefatilia kiundani ungelijua hilo. Ila usijali Darling kuhesabu unajua vizuri sana kama una wasiwasi please use a calculator”.

 

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.