Poshy Queen Explains Her Breakup with Harmonize

Tanzanian socialite Poshy Queen has opened up about her breakup with Bongo Flava star Harmonize, just a year into their relationship. Speculation about their split began when fans noticed that the two had unfollowed each other on Instagram and deleted past photos together.

While Harmonize confirmed the breakup, he refrained from revealing specific details, citing concerns that his words might be misinterpreted. “I’ve chosen not to speak about it out of respect for her family, as I fear my remarks could be taken out of context,” Harmonize explained.

CHECK OUT:

https://www.ghafla.co.ke/ke/zuchu-and-harmonize-along-with-his-girlfriend-poshy-queen-are-at-odds/

Poshy, who works as a masseuse, also remained discreet, sharing that their relationship simply ran its course. “It’s a long story, but we mutually agreed to go our separate ways. There was no bad blood; it just wasn’t working for us anymore,” she revealed.

Although the couple has kept quiet about the reasons behind the breakup, a source close to them suggested that Harmonize’s insecurities may have played a role. According to the source, Harmonize felt uneasy about Posh’s interactions with other influential figures in the entertainment industry, which strained their relationship. Over time, Posh reportedly became frustrated with his possessiveness, leading to the eventual split.

Tanzania’s extra curvy socialite Poshy Queen engaged to longtime lover! (Photos)

Poshy Queen, the Tanzanian wide-hipped socialite with a heavy backside, reportedly Vera Sidika’s competition has finally said “Yes” to longtime Nigerian lover in a flashy night proposal.

The curvaceous lass is now off the market after her fiancé identified as John, went down on one knee and popped the question on the spectacle of a damsel.

A romantic late night event that went down at Dhamira Hall, Mbeya in southwest Tanzania on Saturday, July 18, as reported by Global Publishers.

Tanzanian socialite and businesswoman, Poshy Queen

Family and friends of the lovebirds were present to witness the sweet exchange go down at 10 pm as the two officiated their relationship announcing to any secret admirers that they are both “Taken”.

Also read: “Hang in there!” Kenyans hilariously console Ken Mijungu after thugs sweep his house clean a second time

A dear Poshy, born Jacqueline Obed, oozed elegance with a beaded Rwandese Umushanana, symbolic of the evening’s event.

Socialite and businesswoman, Poshy Queen engaged to Nigerian lover

As she flaunted her sparkle of a gem put on by her beloved, they both gazed at the covenant just sealed.

Also read: Keff Joinange wishes his voice twin Jeff Koinange a quick recovery (Video)

Her news of engagement come barely months after reports were rife she was heavily pregnant for her lover. Having been previously alleged to be dating Diamond Platnumz behind the scenes.

Either way, Congratulations to her! Check out more photos from their engagement:

Uzuri Unaendana na Kufanya Kazi Kwa Bidii-Poshy Queen

Mrembo aliyejizolea umaarufu kwenye Mitandao ya kijamii kutokana na umbo lake matata Jackline Obeid maarufu kama Poshy Queen amefunguka na kutoa siri ya kuogopwa na wanaume.

Poshy Queen ameibuka na kudai kuwa siri pekee ya mwanamke  kuogopwa na wanaume ni kufanya kazi ili kuweza kusimama mwenyewe na hasa kuweza kujitegemea.

Katika mahojiano aliyofanya na Global Publishers, Poshy Queen, amesema kuwa staa yeyote akiwa mzuri halafu akafanya kazi anazidi kung’ara na hata wanaume wanamugopa wanajua wazi kwamba, si mwanamke wa mchezomchezo.

Unapokuwa staa na ukaamua kufanya kazi basi itakuwa dawa moja kubwa sana ya kukulinda na wanaume, lazima watakuogopa; utaheshimika na kisha uzuri wako utaonekana mara dufu”.

 

 

Poshy Queen Ajibu Tuhuma Za Kutumia Mchina Kutengeneza Shepu

Socialite maarufu kwenye Mitandao ya kijamii Jackline Obeid maarufu kama Poshy Queen amefunguka na kuvunja ukimya Baada ya shepu yake kutengeneza headlines.

Kuna tetesi zilisambaa kuwa Poshy Queen ametengeneza umbo nchini Afrika Kusini na kuwa na muonekano tofauti na alivyokuwa zamani, mwenyewe ametoboa kuwa ameamua kunyamaza kwa kuwa hakuna anayemlisha.

Kwenye mahojiano aliyofanya na Gazeti la Ijumaa, Poshy alisema kuwa aliamua kunyamaza kwa sababu ameshangazwa sana na watu ambao wanavumisha hiyo skendo ya yeye kutengeneza shepu.

Unajua nilinyamaza kwa sababu niliona wazi sina cha kuwaambia kabisa maana wao ndio wamekuwa wakinijua zaidi kuliko hata familia yangu. Kwanza picha wanazozisambaza ni za zamani wakati nikiwa mwembamba na si vinginevyo.

Halafu kingine katika hilo kuna mambo mengi ya wivu na kutaka kuchafuana utaona hata ile picha wameitengeza nionekane sina kitu kabisa lakini mimi nimeachana nao kwa sababu hakuna mtu hata mmoja anayenilisha au kujua maisha yangu”.

 

 

“Situmii Mwili Wangu Kama Kitega Uchumi”- Poshy Queen

Mrembo anayekimbiza kwenye Mitandao ya kijamii kwa umbo lake matata Jackline Obeid maarufu kama Poshy Queen amefunguka na kusema kamwe hawezi kutumia mwili Wake kama kitega uchumi.

Poshy Queen amesema hawezi kufuata mkumbo wa warembo wengi hapa mjini ambao wamekuwa na tabia ya kujiuza ili wapate kipato kwani hata Mingu hapendezwi na tabia hizo.

Kwenye mahojiano aliyofanya na Gazeti la  Ijumaa, Posh Queen alisema mwili na umbo zuri amepewa kama zawadi kutoka kwa Mungu hivyo hawezi kuutumia vibaya kwani atakuwa anamkosea aliyempa.

Kuna watu wengi wananisumbua sana wakijua mimi ni kama wale, hapana, kiukweli ninajiheshimu na watu wanaonifikiria kuwa najiuza hivyo nawaambia kuwa hapa siyo mahali pake kabisa, nimeitafuta elimu ili niweze kupata kazi ya kujikimu maisha yangu mwenyewe“.

Lakini pia Poshy ameweka wazi kuwa ana Mpenzi Wake tayari ambaye amekiri anapata wivu sana kutokana na usumbufu anaopata kwa wanaume wengine.

 

Mpenzi Wangu Anapata Shida Sana Kutokana na Usumbufu Ninaopata-Poshy Queen

Socialite maarufu kwenye mitandao ya kijamii Jackline Obeid maarufu kama Poshy Queen amefunguka na kuweka wazi kuwa anamuonea Huruma Mpenzi Wake kutokana na usumbufu anaopata kutoka kwa wanaume.

Kwenye mahojiano aliyofanya na Gazeti la  Ijumaa, Poshy alisema kutokana na usumbufu anaoupata kutoka kwa wanaume wenye uchu wanaotaka kuwa na uhusiano naye kimapenzi, mpenzi wake huwa anapitia kipindi kigumu sana.

Kuna wakati namuonea huruma kutokana na usumbufu ninaoupata hivyo huwa anajitahidi kupambana na hali hiyo. Kuna wakati unamuona kabisa amekata tamaa, lakini nampa moyo kila siku”.

Poshy Queen alijizolea umaarufu kutokana na umbo lake matata ambalo limekuwa likiwatoa udenda wanaume wengi ambao wamekuwa wakimtaka mrembo huyo ambaye mbali na umbo zuri Lakini pia msomi wa chuo kikuu. Lakini

Sitaweza Kupata Ajira Kwa Ajili Ya Umbo Langu – Poshy Queen

Socialite maarufu kwenye mitandao ya kijamii mwenye umbo la kipekee Jacqueline Obeid maarufu  kama Poshy Queen amefunguka na kuweka wazi kuwa hana mpango wa kuajiriwa.

Poshy Queen aliyemaliza Stashahada ya Insurance and Risk Management katika Chuo cha Usimamizi wa Fedha (IFM) cha jijini Dar, amesema hataki kuajiriwa kwani anajua atakavyosumbuliwa.

Kwenye mahojiano aliyofanya na Global Publishers, Poshy Queen alifunguka kuwa anamshukuru Mungu kwani hata alipokuwa chuoni alikuwa ameshaanza kufanya biashara hivyo baada ya kumaliza chuo atajiari mwenyewe.

Sitaki kuajiriwa maana najua nitakayokutana nayo. Ni bora kujiajiri mwenyewe nitakuwa huru na umbo langu”.

Poshy Queen pia amefungukia tetesi za kuwa na shepu feki ambapo ameweka wazi kuwa shepu yake ni origino kabisa.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.