Professor Jay reveals family sold his property while he was in a vegetative state

Tanzanian rapper and politician Joseph ‘Professor Jay’ Haule has revealed that his family sold off his properties while he was hospitalized and fighting for his life, leaving him to rebuild his wealth from scratch.

“I’m starting over. Since I got sick, my siblings sold most of my assets to save my life. I don’t regret it because the most important thing is that I’m alive today, even when the chances of survival were slim. You can always rebuild wealth,” the 48-year-old shared.

CHECK OUT:

https://www.ghafla.co.ke/ke/friends-seeking-financial-assistance-for-professor-jays-medical-bill/

The former Mikumi MP explained that the sales were done without his knowledge, as his family made decisions on his behalf while he was incapacitated.

“I was unaware they were selling my properties. These decisions were made by my family since I spent most of my time in a vegetative state,” he added.

Professor Jay fell critically ill at his home on January 24, 2022. His wife rushed him to Lugalo Military Hospital before his condition worsened, prompting a transfer to Muhimbili National Hospital, where he was admitted to the Intensive Care Unit (ICU).

He spent 462 days in the hospital battling kidney failure, high blood pressure, and high cholesterol, among other ailments. During his treatment, he was unconscious for most of the time, relying on tubes for breathing, eating, and excretion.

ALSO CHECK OUT:

https://www.ghafla.co.ke/ke/victoria-kimani-and-professor-jay-follow-in-otile-browns-footsteps-to-drop-new-song-dedicated-to-women/

Reflecting on his near-death experience, Professor Jay revealed that he spent 127 days in ICU and was told he had only a 40 percent chance of survival. In a moment of despair, he even attempted to end his suffering by removing his dialysis tubes. “I had lost all hope of living. I thought it was only a matter of time before I died,” he recounted in a previous interview.

As he continues to recover, the legendary rapper has announced his intention to run for the Mikumi MP seat in Tanzania’s 2025 general election. By then, he will have turned 50.

Victoria Kimani and Professor Jay follow in Otile Brown’s footsteps to drop new song dedicated to women

It seems 2019 is all about celebrating women, musicians are now dropping new songs specially dedicated to women. Which is a good thing by the way.

Otile Brown dropped a new song dubbed ‘Kenyan Girl’ which basically praises women in Kenya. He mentions the likes of Betty Kyallo, Huddah Monroe and also his ex Vera Sidika in his song.

Also read: No beef! Otile Brown praises ex lover Vera Sidika in his new romantic song

‘Woman’

Victoria Kimani and Mikumi MP Professor Jay also collaborated to drop a new song in praise of women, their new song is simply called ‘Woman’.

“Your Mamma would Love this song… so would mine …?? What a Perfect time as every time to Appreciate, Recognize and Worship WOMEN … because OMG, we do everything ❗️❗️❗️ We are the brains behind every operation, Life givers, and Angels on earth,” wrote Victoria Kimani.

Watch the song below:

 

 

Professor Jay pays last respect to late father with emotional message

Tanzanian rapper Professor Jay has paid his last respect to his late dad who died on September 7th at the St. Kizito hospital in Tanzania.

The rapper, who is also a member of parliament, lost his dad, Mzee Haule, following complications related to high blood pressure after suddenly falling ill. He was to be transferred to the Muhimbili National Hospital for specialized treatment but he did not make it.

Funeral

Mzee Haule

Jay took to social media to update his fans on the funeral which was held yesterday.

“TAARIFA. Mazishi ya Baba yetu mpendwa Mzee LEONARD STEPHEN HAULE yatafanyika siku ya Jumanne, Tarehe 11 September 2018 Nyumbani kwake KIKWALAZA, MIKUMI. Tafadhali sana mpe TAARIFA na mwingine, Asanteni sana. Bwana ametoa na Bwana ametwaa jina la Bwana LIHIMIDIWE, Amina,” posted.

Jay has not shared much about the funeral which was attended by top Tanzanian artistes, the who-is-who in the Tanzanian entertainment and residents of Mikumi.

 

 

Professor Jay’s words to Diamond as Wasafi TV finally goes on air

Diamond Platnumz’s TV station has finally started broadcasting after months of preparations. Professor Jay had something to tell Diamond as his station went on air for the first time.

Wasafi TV started broadcasting on Tuesday night April 3rd 2018. The entertainment station airs on channel 122 on Azam direct broadcast satellite service.

“Ningependa kuwajuza kuwa ifikapo saa moja kamili Usiku leo, tutakiwa Rasmi kuanza Kutest signal ya Channel yetu tuloisubiri kwa hamu ya @WasafiTv kupitia king’amuzi cha Azam Chaneli namba 122….nashkuru kwa Subira na kuwa nasi bega kwa bega Muda wote…..Amini kwamba Hii ni yetu ni sote, ….. na leo Tareh 03 / 04 /2018 SANAA IMEZALIWA UPYA….. #ChomboKwaHewa #Tumewasha #Tunawasha #SanaaImezaliwaUpya,” Diamond announced.

Congratulations galore
Professor Jay and Diamond Platnumz
Professor Jay and Diamond Platnumz

Professor Jay says the launch of Wasafi TV is a very good development in showbiz which everyone in Tanzanian entertainment industry must be happy of. He earnestly congratulated  Diamond for launching the station and assured him of his support.

“Hili ni jambo jema sana ambalo kwa kila mpenda maendeleo na burudani nchini ni lazima alifurahie,hongersa sana mdogo wangu @diamondpaltinumz na timu yako nzima ya WCB #YAMETIMIA TUKO PAMOJA SANA,” Professor Jay tweeted.

 

 

 

Professor Jay sheds tears as his multi-million shillings palatial home is demolished to pave way for road expansion (Photos)

Tanzanian MP-cum-rapper Joseph Haule popularly known as Professor Jay is among Dar es Salaam residents counting loses after their houses were demolished to pave way for road expansion.

Professor Jay’s palatial home, which is located in Mbezi Luis, Dar es Salaam, was marked for demolition in August after Tanzanian road authority – Tanroads determined that it was constructed in a road reserve.

Also read: Professor Jay afunguka kuhusu jumba lake la kifahari kuwekwa alama ya kubomolewa

Professor Jay’s house as it stood before demolition

The Mikuni MP moved to court to stop the planned demolition by Tanroads but on Friday evening September 29th Tanroads’ bulldozers brought down his house.

The veteran Tanzanian rapper revealed that he wasn’t able to save anything from his house as Tanroads didn’t notify him about Friday demolition.

Professor Jay’s house before and after demolition

Professor Jay cried as he narrated his ordeal on Instagram;

“Mimi ni mmoja wa wahanga wa hili zoezi la kubomolewa nyumba zetu huku Mbezi Kimara Tarehe 29/9/ 2017.
Jana nikiwa katika majukumu jimboni Mikumi Majira ya saa kumi mbili hivi jioni, nilitaarifiwa kwamba, watu wa Tanroads wakiwa wameambatana na grader mbili na magari mawili ya polisi (defenders) yenye askari waliokuwa na silaha mbalimbali za moto walikuwa wanabomoa nyumba yangu. (sijawahi kuumia kiasi hiki ?) Nimesikitishwa sana jinsi Tanroads wanavyoweza kujichukulia maamuzi bila ya kujali mhimili muhimu wa Mahakama wametoa maagizo gani. ? Na taratibu zilizotumiwa kubomoa nyumba yangu bila ya mimi na Tanesco kupewa taarifa saa kumi na mbili jioni (haukuwa muda wa kazi) na kubomoa huku Umeme ukiwa unawaka ni kitendo ambacho kwanza kina hatarisha maisha ya wabomoaji wenyewe, maisha ya familia yangu pamoja na majirani zangu , LIMENISIKITISHA zaidi. Nasema hivi kwasababu Tanesco wamenipigia simu baada ya masaa 24 au zaidi baada ya zoezi la kubomoa nyumba kufanyika kunitaarifu kuja kukata Umeme kabla ya ubomoaji huo, pindi nilipo waambia kwamba mbona nyumba IMESHABOMOLEWA kabisa na sijaweza kuokoa kitu chochote na hata hiyo meter yenu mnayoiulizia mkaitafute kwenye kile kifusi cha nyumba yangu kilichokusanywa kwa pamoja na watu wa Tanroads. Tanesco walishangazwa sana kuvunjwa nyumba yangu kwa taratibu hizo.
Lakini naamini kila kitu kinatokea kwa sababu maalum. Nimejifunza kumtegemea Na kumshukuru Mungu kwa kila jambo. Na hili ni moja ya mitihani ya hapa duniani. Nimepokea na kumsikiliza Mungu ana mipango gani juu yetu katika familia yangu mbeleni. Tumelipokea na Naamini tutashinda ??,” Professor Jay wrote on Instagram.

 

Professa Jay afunguka kuhusu jumba lake la kifahari kuwekwa alama ya kubomolewa (Picha)

Mbunge wa Mikuni Joseph Haule maarufu kama Professor Jay ni miongoni mwa watu ambao nyumba zao zimewekewa alama ya X kuashiria zipo katika hifadhi ya barabara.

Professor Jay amejenga jumba lake la kifahari pembezoni mwa barabara ya Morogoro maeneo ya Mbezi Luis, jijini Dar es Salaam.

Jumba la Professor Jay

Hivi karibuni Tanroads imetangaza kuwa muda wowote itaanza utekelezaji wa kubomoa nyumba zilizowekewa alama ya X katika barabara hiyo kupisha ujenzi wa barabara kubwa ya kisasa.

Professor Jay amefunguka kuhusu jumba lake kuwekwa alama ya kubomolewa;

“Wanasema kupanua ni meta 121.5 ni upana mkubwa sana na upande mkubwa sana na watu wengi wataarithirika na wataumia. Kwa sababu tunaamini haki inapatikana mahakamani ndio maana tukaenda kuweka zuio, kuangalia ni jinsi gani tunaweza kupata haki yetu ya msingi lakini kitu kikubwa tunachozidi kusisitiza hakuna mtu anayekataa kuhama kwa ajili ya maendeleo.

“Wengine tumejenga kwa muda mrefu sana, nakumbuka hii nyumba nimejenga kupitia muziki, unapata lakini mbili unatoa elfu hamsini unanunua misumari halafu laki na nusu unakula bata, kwa hiyo unapoona kwamba inabomolewa kwa siku moja na hakuna fidia serikali inatakiwa iangalia kwa jicho pevu,” Professor Jay ameimbia XXL ya Clouds FM.

 

Profesa Jay atajavitu ambavyo vilimpendeza katika harusi yake

Msanii na mbunge kutoka bongo Profesa Jay alifunga pingu za maisha na mpenzi wake Grace – huku akiwavutia wengi kutoka Tanzania.

Sherehe ya harusi yake ilihudhuriwa na wasanii kama Diamond Platnumz, AY na wengi waliotumbuiza wageni na wazazi wa Profesa Jay na Grace.

Hata hivyo hivi karibuni msanii huyu alifunguka kutaja mambo matatu yaliyomvutia Profesa Jay katika harusi yake. Akizungumza na FNL ya EATV Profesa alisema,

“Chakwanza ni support kubwa ya watu wangu wa mtaa, nikaona watu wote wapo pale especially wasanii wenzangu walikuwepo sana sana, wengine walishindwa kuja kwa sababu mbali mbali,”

Aliongeza kusema;

“Pili media ime-play part yake vizuri sana, lakini kikubwa mbacho namshukuru Mwenyenzi Mungu mbele za haki nimejitahidi hata kuungainsha siasa zetu za Tanzania. Viongozi wote waliopata kuongea  walisema huyu jamaa ametuunganisha, watu wa vyama vyote walikuwa pale, watu wa dini zote walikuwepo pale, ni kitu kikubwa namshukuru Mungu,”

Diamond azua utata kwasababu ya zawadi aliyompa Professor Jay kwenye harusi yake

Professor Jay na mpenzi wake Grace Mkonja walifanya harusi wikendi iliyopita katika kanisa la Katoliki la St. Joseph jijini Dar Es Salaam.

Diamond alijiunga na shamrashamra za harusi ya Professor Jay kwenye ukumbi wa maakuli, staa huyo wa Wasafi aliwatumbuiza wageni kabla ya kumpa Jay zawadi aliyoleta.

Baba Tiffah aliwashangaza wengi kwa kumpa Professor Jay boksi tano za Diamond Karanga na manukato yake ya Chibu perfume kama zawadi.

Diamond akimpea Professor Jay zawadi zake

 

“Nimekuletea hizi boksi unajua uko kwenye ndoa, ndoa nayo inataka uongeze mwili ili watoto watoke wengi,” Diamond aliambia Professor Jay akimpa zawadi zake.

Tazama video hapo chini uone jinsi Diamond alitumbuiza wageni kwa harusi ya Professor Jay:

Hivi ndivyo alivyofanya Steve Nyerere baada ya Professor Jay kumpigania Bungeni

Professor Jay alitetea haki ya wasanii wote Bungeni aliposimama kuchangia mapendekezo yake katika bajeti ya Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

Mbunge huyo wa Mikumi alisema TRA na mamlaka zingine za serikali zinawanyanyasa wasanii kwa kuwatoza kodi na ada zingine ambazo wasanii hawazi kumudu.

Tazama video hapo chini:

Kufwatia hatua ya Professor Jay kupigania haki za wasanii Bungeni, muigizaji wa filamu za Bongo – Steve amesema aliamua kummiminia sifa mbunge huyo.

“Mwenye akili anaanza kuelewa nalilia nini kwenye sanaa yetu..Sina haja ya kutukanana ni wajinga wanao tukana. Ukweli unadumu kuliko kitu chochote, ukweli huzaa amani..Asante Mhe. Haule kwa kuongea ukweli”. Alisema Steve kupitia ukurasa wake wa instagram

 

Professor Jay aongelea hatma ya Diamond Platnumz bungeni

Mbunge wa Mikumi Joseph Haule maarufu kama Professor Jay amefikisha hatma ya Diamond na wasanii wengine kataka Bunge la Tanzania.

Professor Jay alieleza bunge changamoto zinazowakumba wasanii aliposimama kuchangia mapendekezo yake katika bajeti ya Wizara ya Habari, utamaduni, sanaa na michezo kwenye bunge la Bajeti linaloendelea.

Alisema TRA na mamlaka zingine za serikali zinawanyanyasa wasanii kwa kuwatoza kodi na ada zingine ambazo wasanii hawazi kumudu.

“Juzi msanii Diamond alikua analalamika TRA wamempelekea kodi ya milioni mia nne, kwa hivyo unaweza ukajiuliza kwamba amekabiliwa milioni mia nne kwa kiasi gani alichoingiza. Lakini dangozi ambazo zinafanyika munaweza mukaona kwamba sasa hivi wasanii wanabanwa, TRA wanatamani kuvuna kutoka kwa wasanii kitu ambacho bado hawajakibandikiza,” Professor Jay aliambia bunge.

Tazama video hapo chini:

“Diamond and Ali Kiba wanazuia mziki wa Tanzania kuenda mbali” Professor Jay asema

Ingawa Professor Jay ni rafiki yake Diamond na hata washawai toa kolabo “Kipi Sijasikia”, msanii huyo anasema beef kati ya Diamond and Ali Kiba inazuia mziki ya Tanzania kuenda mbali.

Professor Jay na Diamond

Professor Jay anaamini mziki wa Bongo ingeenda kwenye level nyingine iwapo mashabiki wa Diamond na Ali Kiba wangekuwa pamoja ili kuipigania Tanzania.

Jay alisema haya alipokua akiongea kwenye Ayo TV.

‘Kitu kikubwa ukiongelea beef iliyopo kwenye bongo fleva ni hii ya Diamond na Ali Kiba nadhani mashabiki wa Diamond na Ali Kiba wangekuwa pamoja ili kuipigania Tanzania kwenda kwenye level nyingine nadhani muziki wetu ungeenda  mbali, kwa hiyo moja kati vitu ningependa kushuhudia siku moja Diamond na Alikiba wakiwa pamoja ikifanikiwa tu hiyo naamini muziki wa Bongo unakuwa level nyingine” Professor Jay alisema.

Professor Jay azungumzia wimbo wake mpya na uanasiasa

Professor Jay (Joseph Haule) ametoa wimbo mpya. Msanii huyo ambaye aliteuliwa mbunge wa Mikumi kwa tikiti cha Chadema miaka mbili iliopita, alizungumzia wimbo yake mpya “Kibabe” and uanasiasa alipohojiwa kwenye redio.

Jay alifunguka kuhusu kazi yake kama mbunge na kuandika wimbo.

“Kitu kikubwa ambacho namshukuru ni kwamba am blessed, yani hii vitu vipo. I am blessed kwa sababu situmii muda mwingi. Mr. T tayari yuko njiani anaweza akaja kwa muda sio mrefu… atakwambia jinsi amabvyo nifanya hii kibali. Yani mara mingi nikipewa pen na karatasi kitu kinaisha kwa sababu huwa ni migodi unaotembea… ni kisima cha mashairi. Kwa hivyo no problem kwa maana tunafanya kazi na wanainchi sana tunapata muda kidogo tunatupiatupia vitu kama hivi,” Professor Jay alisema.

Ghafla!
Privacy Overview

This website uses cookies so that we can provide you with the best user experience possible. Cookie information is stored in your browser and performs functions such as recognising you when you return to our website and helping our team to understand which sections of the website you find most interesting and useful.