Marya Reveals How She Has Been Rejected Many Times
You wouldn’t believe it at first, but the sexy songstress Marya has had her fair share of rejection at the hands of men. Marya did an interview with Sylvano Mbatu where she revealed a lot about her history, including how she got into the music industry. She told Sylvano how she had to struggle a lot in the beginning, and also about her creative process when she makes songs. Here is a transcript of how it all went down:
Sylvano: Ndio hawa mafans wako. Wanataka kufahamu Marya ni nani? Alianza vipi mziki? Kazi gani anazo?
Marya: Mziki nilijipata kwa misukosuko mingi. Kukuja Ogopa wakanikataa, nikarudi tena wakakataa, nikarudi tena wakakubali. Nikaanza na Ogopa 2007 mwisho, hapa ndio nikaanza kabisa kabisa single yangu ya kwanza “Mahaba.”
Sylvano: Ni real life experience ama?
Marya: Mahaba ilikuwa real life experience lakini ya rafiki yangu. Maanake babake alikuwa kwenye army. Kidogo akajua anarudi alikuwa kwangu kila siku amefurahi akiniambia anamngoja. Tunapiga story ananiambia ana furaha hawezi ngoja.
Sylvano: Umeweza kufanya kazi na Avril, umeweza kufanya kazi na Mustafa. Tueleze, collaborations huwa unatafuta nini kabla ufanye?
Marya: Kwa hiyo nyimbo natafuta nani atafaa kwa hiyo nyimbo kabisa. Kwa “Hey Baby” mi na Mustafa tulikuwa tuna-date, ndio nikaona hiyo nyimbo na Mustafa ndio itafaa… Ndio itakaa ukweli kabisa!
Sylvano: Unapokuwa hufanyi muziki, Marya huwa unafanya nini?
Marya: Utanipata kwa nyumba nasafisha nyumba, utapata napika, utapata nakaa chini naangalia movie. Hizo tu.
Sylvano: Kuna ule fan wako pale ambao anataka kujua kitu fulani hajui haswa kukuhusu wewe…
Marya: Mi ni mwoga! Yaani mimi naweza kaa hivi sehemu, ukafikiri eh, Marya amekaa? Sijui Marya ameogopa kumwongelesha? Hapo mimi mwenyewe nimekuogopa nashindwa huyu mtu ananichukulia vipi? Huyu mtu ananionaje? Ah!
To see the interview for yourself, you can watch it in the video below:
{youtube}X0WT6JZeY2E{/youtube}