Shaffie Spotted Something in Othaya and it’s Totally Hilarious
He’s back again with his crazy updates. According to Shaffie, he spotted a set of Facebook rules in Othaya and decided to share with his fans. Take a look;
1. Usinitumie friend request kama wewe na mutu wa hapa area. Si tayari sisi ni marafiki hapa
Othaya? Unataka urafiki mwigine wa nini ??
2. Nikikubari fred request yako,tafathari wacha kuniadikia kwa wor ,ati “thanx…” .Unanishukuru kwani ni
nyuba nimekuripia rent??
3. Mimi sipedi ware watu wanaweka update mureeeeefu! Time ya kusoma ndio hatuna hapa Othaya! Unaweka update murefu kwani ni agreement ya shamba ??!
4. Ujinga ya kueka picha ya mutoto mugojwa arafu unaniabia ati “ONE RIKE(LIKE) equals One PRAYER ” sitaki ! Sikuigia FB niobee watoto, Kwani mimi ni Bishop Gitari ?? Niriigia FB kushoshiorais.
5. Ware watu wanapeda kuweka update harafu wanamarizia “HIT RIKE” wawache ujiga! Nikiona mutu akiniabia ati “hit rike” sio “rike” nitaHIT, NI WEWE NITA HIT!
6. Nikiweka update RAZIMA muRIKE. Unakataa kuRIKE kwani ukiRIKE utaripishwo???
7. Hakuna haja ya kureta matusi kwa status yangu. Kuja BIASHARA BIULDING, stall number 24, unitukanie hapo nikuonyeshe!!!
8. Naona kuna kajamaa kanajichocha sana kanajiita CABU GAH. Ati C.E.O! C.E.O kitu gani na hata kwa profile pisha yake hakana nguo? C.E.O mgani anavaaga vest kwa ofisi??
9. Nimeorewa. Kwa ivyo SITAKI kukatiwa!. Unanikatia kwani ni miwa??
10. Kama unataka kurara rara! Unatuabia “Am going to bed” kwani unataka tukuje tukuzimie
stima??
11. Nikicomment kwa status yako. HIO STORY IMEISHIA HAPO. Usianze ati kureta conversation
mureeeefu! Ukitaka kuogea eda bunge!
12. Kama unaeda mahari wacha kutuabia ,”Nairobi here I come”! Hatutaki kujua! Mbona ukieda
choo hautuabiagi,”Toiret here I come???….